Ruka kwenda kwenye maudhui
Nembo ya NSUMBA HERBAL CLINIC NSUMBA Herbal Clinic
Kuhusu NSUMBA Video 11 Ago 2026

Mahali Tulipo — Ubungo Mawasiliano, Dar es Salaam

Maelekezo ya kufika kliniki yetu: Ubungo Mawasiliano, jirani na stendi ya daladala, jengo lenye ATM za CRDB na NMB, ghorofa ya juu.

Imeandaliwa na NSUMBA HERBAL CLINIC

Mahali NSUMBA HERBAL CLINIC ilipo

Kliniki yetu ipo Dar es Salaam, Ubungo Mawasiliano, jirani na stendi ya daladala — geti la kutokea. Utaona jengo lenye ATM za CRDB na NMB; ofisi za NSUMBA HERBAL CLINIC zipo ghorofa ya juu.

Ukihitaji msaada wa kufika, tupigie: 0611 200 200.

Tahadhari ya afya: Taarifa zilizo kwenye tovuti hii ni za kielimu na hazichukui nafasi ya uchunguzi wa kitabibu, ushauri wa mtaalamu wa afya au huduma ya dharura. Kwa dalili kali au za dharura, tafadhali fika hospitali mara moja. Usiache dawa ulizoandikiwa bila ushauri wa mtaalamu wa afya aliyehitimu.